Hapa ni mzazi mwenzie Andrew na mtoto wao mpendwa Zoe wakiwa mbele ya mwili wa marehemu.Mwili wa marehemu utawasiri Dar_Es_Salaam siku ya jumanne na jumatano ndugu na jamaa wa Dar_Es_Salaam wata Ibada ya misa na kuaaga mwili ndani ya kanisa la Lutheran nyuma ya Ubungo Plaza siku ya jumatano asubuhi kisha safari ya Dodoma jioni na mazishi yatafanyika siku ya Alhamis May 05.
Mwakilishi wa ubalozi wa Tanzania hapa Marekani angeongea mbele ya watu waliojitokeza ndani ya kanisa kwa ajili ya Ibada ya misa na kuaga mwili wa Andrew.
Mtoto wa Marehemu akiwa mbele ya mwili wa baba yake uku akiwa ameshikiliwa na Wash rafiki wa marehemu kutoka Ohio.
Mzazi mwenza wa marehemu Andrew akitoa neno mbele ya watu waliojitokeza kuja kuaga mwili wa marehemu.
Michael Nyanda rafiki wa marehemu akitoa machozi mbele ya mwili wa marehemu. Kwa Taswira zaidi ya kila kilichokuwa kimendelea siku hiyo ya Tar, 30 nenda soma zaidi.
Wash kutoka Ohio akiwa na majonzi mbele ya mwili wa marehemu
Majonzi kwa kila mmoja aliepita mbele ya mwili marehemu.
Wengine walishidwa hata kuangalia sura ya marehemu kwani ilikuwa ni ngumu kuamini.
Ny Ebra kutoka New York nae ni mmoja kati ya watu waliotoka nje ya Houston, Texas kwaajili ya kuaaga mwili wa Andrew, hapa Ebra akipata ukodak na Emmy mzazi mwenza wa marehemu Andrew na mtoto wao Zoe nnje ya kanisa baada ya kuaaga mwili pamoja na Ibada ya misa.
Mzazi mwenza wa marehemu Emmy Matafu pamoja na mtoto wake Zoe katikati.
Marafiki kutoka North Carolina na Atalanta .
Picha zote kwa hisani ya Vijimambo blog.
No comments:
Post a Comment