Saturday, 21 May 2016
LEO NI MIAKA 20 TANGU KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA
Siku ya Jumamosi tarehe 21 Mei ni siku ya kumbukumbu ya ajali ya meli ya MV Bukoba iliyotokea mwaka 1996 (miaka 20 iliyopita) katika Ziwa Victoria. Mabaki ya miili ilizikwa sehemu moja katika eneo la Igoma jijini Mwanza.
ILIKUWA Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha. Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza kilomita 30 kutia nanga kwenye bandari ya Jiji la Mwanza ikitokea mkoani Kagera. Leo ni miaka 20 tangu ajali hiyo itokee. Daima tutazidi kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza maisha katika ajali hiyo. ...
Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbw pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji. Makaburi ya Igoma ambako ndugu zetu waliokuwa .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment