Monday, 9 May 2016

KUMBE HUYU BABA NI MPUUZI HIVI!



Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.



"Sina neno na yule mtoto wa kike, nimesham..... kwa miaka kama 15 hv"

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!