Kijana
ambaye jina lake halikufahamika maramoja akiwa chini ya ulinzi wa
Askari waliopo eneo la Gengo la Mifugo kumdhibiti kijana huyo mara
alipotuhumiwa kuiba Compyuta mpakato na simu ya mkononi na mmoja wa
wafanyakazi jina (jina limehifadhiwa) kushitukia mchezo mchafu uliokua
ukifanywa na kijana huyo, katika Ofisi ya Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Mifugo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Baadhi ya wafanyakazi wakimuangali jina huyo akiwa ameokolewa na Polisi baada ya kufika katika eneo la tukio
Vitu vilivyokua vimedaiwa kuibiwa na kina huyo
No comments:
Post a Comment