Sunday, 1 May 2016
FAHAMU FAIDA ZA KUTEMBEA KWA MIGUU
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka kwa kasi mlipuko wa maradhi ya tabia'lifestyle diseases'kama
kisukari'diabetes',shinikizo la juu/chini la damu'hbp/lbp',pumu'asthma',magonjwa ya moyo'cardiac
related diseases',magonjwa ya ini,figo,bandama nk.
kutokana na maisha ya anasa tunazoishi kama kula/kunywa bila kuzingatia ushauri na kibaya zaidi kupenda kupanda magari,daladala,kupanda lifti,kutokufanya mazoezi nahata kushindwa kutembea mwendo mfupi kitaalam'sedentary lifestyle.
Zama hizi za maisha ya kisasa mara nyingi haswa
mijini,watu wanatumia vyombo vya usafiri hata kama ni kwa kukodi pikipiki matokeo yake kutembea kwa miguu inaonekana ni ulofa na kunuka jasho.Mitindo ya maisha aina hii ikichangiwa na ulaji wetu wa kila siku wa vyakula vyenye mafuta mengi,sukari nyingi,chumvi nyingi nk na tunachofanya bila kujua ni kuweka miili yetu katika vifo vya ghafla kutokana na magonjwa sugu kama ya kukosaa nguvu za kiume moyo,unene,kisukari na saratani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment