Shule ya Sekondari ya Ilala Girls Islamic school imeteketea kwa moto. Shule hiyo ipo maeneo ya Ilala Bungoni, pia msikiti wa TAQWA umeungua.
Watoto wako salama ila shule imeteketea takribani yote. Kikosi cha zima moto kama kawaida yao wamechelewa kufika.
-Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika
No comments:
Post a Comment