Tuesday 12 April 2016

WENGI WAPENDEZWA NA JAY DEE KUWA KARIBU NA RAY C

 
Siku ya jana watu kwenye mitandao mingi kilichokuwa kikizungumzwa ni juu ya mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, kuwagusa watu wengi kutokana na picha aliyo iweka Instagram na ujumbe ambao uliwagusa wengi.

Waraka huu wa Lady Jaydee baada ya kukutana na RayC wawagusa wengiLakini leo, Lady Jaydee amewagusa tena watu baada ya kupost picha ambayo imemuonyesha akiwa na Ray C huku hali ya staa huyo ikionekana imedhoofu sana kiasi cha watu wengi kutoa maoni yao kwa mshangao kutokana na muonekano wak.
Hizi ni baadhi ya comment zilizo wekwa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!