Sunday 10 April 2016

Waliouza maziwa ya watoto yenye sumu wanaswa

Image copyrightReuters
Image captionWaliouza maziwa ya watoto yenye sumu wanaswa
Watu 9 wamekamatwa kwa tuhuma za kuuza maziwa ya watoto yenye sumu nchini Uchina.
Maafisa wa afya nchini Uchina wanasema wamewakamata watu hao katika kilele cha moja kati ya kashfa kadha kuhusu usalama wa wateja.


Image copyrightGetty
Image captionWaliokamatwa ni kati ya genge ambalo lilinua maziwa ya unga kwa bei rahisi na kisha kuyaweka kwenye makopo ya chapa ghali.
Waliokamatwa ni kati ya genge ambalo lilinua maziwa ya unga kwa bei rahisi na kisha kuyaweka kwenye makopo ya chapa ghali.
Polisi mjini Shanghai wamechunguza kisa hicho tangu Septemba mwaka jana.
Image copyrightAFP
Image captionBaadhi ya watu wamelalamika kuwa habari hizo zimechelewesha kutolewa.
Baadhi ya watu wamelalamika kuwa habari hizo zimechelewesha kutolewa.
Mwezi uliopita, wakuu waliwakamata watu kadhaa wanaotuhumiwa kuuza chanjo ghushi na zisizofaa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!