Mwanamke wa kihindi bila hili vazi hajakamilika, ni kama sie tulivyozoea vitenge na khanga zetu. Vazi hili kwa mwanamke wa kihindi ni kama utambulisho wake!! Ni vazi zuri na lakuvutia!!
Hili vazi uvaaji wake lazima uwe unajua ufungaji wake vinginevyo utaadhirika!
No comments:
Post a Comment