Friday, 22 April 2016

MWANAMKE MBARONI KWA KUUA MTOTO NA KUTUMBUKIZA MWILI SHIMONI-DODOMA


DODOMA: Mwanamke mmoja anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mke mwenzake na kutumbukiza mwili kwenye karo la maji.
-Mtoto huyo alipatikana akiwa amenyongwa na kutumbukizwa kwenye karo la maji lililokuwa wazi.


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!