Sunday, 3 April 2016

MILLEN MAGESE ASEMA YOTE! KUHUSU MATATIZO YA UZAZI


Pole sana Millen, hili tatizo wanawake wengi wanalo,sema ndio hivyo tunakuwa hatujui kutokana na either kutopata uchunguzi na madaktari wanaoweza kuligundua tatizo. Hii itasaidia hata kwa wanaume kuelewa zaidi  tatizo la mwanamke. ndoa nyingi zinavunjika kisa mwanamke hazai, asante sana Millen Elimu kama hizi zina manufaa sana kwa jamii.


sio mkiona mtu hazai mnaanza kumsakama mgumba mgumba hii tabia watanzania wengi wanayo, "badilikeni", kuzaa au kutozaa ni mapenzi ya mungu.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!