Monday 11 April 2016

MAJALIWA AFANYA ZIARA KWENYE JIMBO LAKE LA UCHAGUZI LA RUANGWA

MONG1
Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


MONG2
Mmoja wa wananchi wa  kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara  kijijini hapo, Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG4
 Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MONG5
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi  wakizungumza   na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!