Friday, 22 April 2016

KUTOKA KWA LINDA BEZUIDENHOUT KUHUSU MWEZI WA RAMADHANI



Dear Muslim Brothers and Sisters. Ramadhan 2016 is said to be Starting around June 6. (Depending on the sighting of the moon). Normally I start to get ready for Ramadhan 40 days prior....The main reason why I do this is to stop taking alcohol 40 days before. 

This year the 40 days count down will start on the 26 of April INSHAALLAH.

So I just felt like reminding those who would wish to cleanse themselves.. To also not take alcohol 40 days prior to the holly moth Ramadan.
Ndugu Waislam Ramadhan ya mwaka huu inasemekana kuanza mwezi wa sita tarehe 6. ( inategemeana Na kuandama kwa mwezi)
Kwa wale wanaotumia pombe ni vyema kuacha kunywa pombe siku 40 kabla Ramadhan ambayo itakuwa tarehe 26 mwezi wa nne KWAHIO VUNJENI JUNGU MDA WOWOTE KUANZIA SASA MPAKA IFIKAPO TAREHE 26 MSINYWE POMBE. nimejisikia kuwaeleza sababu ndivo navofanyaga mimi. Mimi uwa navunja JUNGU siku 40 kabla Ramadhan INSHAALLAH.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!