Monday 4 April 2016

Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limekamata watuhumiwa wa wizi wa magari eneo la Bunju.



Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limekamata watuhumiwa wa wizi wa magari pamoja na jengo linalotumika kuficha magari hayo eneo la Bunju kwa kuyabadilisha namba za usajili,vioo pamoja na rimu za matairi kwa utayari wa matumizi mengine ikiwa ni pamoja na kuingizwa upya sokoni.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!