skip to main |
skip to sidebar
HARUSI ZA KIISLAM KATIKA MUONEKANO TOFAUTI!
Baby pink" Hii rangi haimkatai mtu
Ni kwamba bi harusi wa kiislam ni lazima kichwa kifunikwe, kwa hiyo fanya ufanyavyo hakikisha kichwa kinafunikwa! sasa wenzetu wanaigeria wanautamaduni wa kuvaa kilemba cha kiaina yake, hii imezidi kunogesha mwonekano kwa bi harusi wa Kiislam.
No comments:
Post a Comment