Sunday 10 April 2016

DIAMOND NA FAMILIA YAKE KUJA NA REALITY SHOW!



(Can you try to guess the name of our Reality Show?)
(Muda si Mwingi Kipindi cha Maisha yangu ya kila siku, Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa Tv yako pendwa... nakuahidi sio tu eti Kireality show



😏... ni Reality show Bora ambayo naamini utaipenda kunzia kwenye Quality, Mikasa na matukio yote nnayopitia mimi, Familia na Team yangu kila siku....Mengi yanaonekana, Unayoyasikia, Unayasoma ila kwenye Hiki kipindi ndio itakuwa Thibitisho la kila uvumi uusikiao....Sjui Kipini puani, Mara jicho, Mara sjui @officialshetta , Mara DNA, Mara @romyjons kutoinekana tena kwenye Tour Ghafla....Niamini mimi yote utaona na kuyapata kwa uwazi kabisa, Kaa na Mimi.......! We unavyohisi reality Show yetu itakuwa inaitwaje.....?

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!