Tuesday 22 March 2016

Yaliyojiri Kutoka kwenye Uchaguzi wa Meya Jijini Dar es salaam.

March 22 umefanyika Uchaguzi wa kumtafuta Meya wa Jiji la Dar es salaam, ikiwa ni baada ya uchaguzi huo wa kuahirishwa zaidi ya mbili. Uchaguzi huo wa Meya umefanyika kwa usimamizi na ukiudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vyama tofauti.


Baada ushindi haya ndiyo maneno aliyoyasema Meya mpya wa Jiji la Dar es salaamIsaya Charles Mwita>>>’Kiukweli wengine wanaweza kutafsiri kama ni furaha lakini kiukweli furaha hiyo kwangu sioni kama ninayo kutoka na mambo yanayoendelea ndani ya taifa letu‘:- Isaya Charles Mwita Meya wa Jiji la Dar es salaam
Lakini kwa upande mwingine tushukuru kuwa uchaguzi umefanyika, demokrasia imechukua nafasi yake, tumshukuru pia Mkuu wa nchi Rais Magufuli ameliongelea hili siku ya jana pia nilitarajia ushindi kwa sababu sisi tuko wengi‘>>>>Isaya Charles Mwita Meya wa Jiji la Dar es salaam
3X6A9184
Wajumbe kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)
3X6A9171
3X6A9162
Mbunge wa Kawe Halima Mdee
3X6A9154
Katikati ni Waziri Mkuu Mstaafu (Edward Lowasa)
3X6A9134
Mgombea wa CCM
3X6A9144
Mgombea wa Chadema (Isaya Charles Mwita)
3X6A9108
3X6A9349
Diwani wa Mbagala, Yusuph Manji
3X6A9341
Mbunge wa Mikumi Joseph haule (Profesa J)
3X6A9281
Ester Bulaya na aliyekuwa anagombea Ubunge Jimbo la Ilala Hassan
3X6A9284
Katikati ni Mbunge wa Kawe Halima Mdee
3X6A9191
Diwani wa kata ya Kilungule Said Fela
3X6A9219
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mwita Waitara
3X6A9512
Meya Mpya wa Dar es salaam Isaya Mwita
3X6A9108
3X6A9171
3X6A9234
3X6A9237
3X6A9302
Karatasi za kupigia kura zikionyeshwa kwa wajumbe
3X6A9304
Zoezi la upigaji kura lilivyokuwa
3X6A9337
AW1A9088
Meya wa Dar es salaam Isaya Mwita
koo
Mbunge wa ilala (kushoto) Ally Zungu na Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa

PICHA ZOTE KWA HISANI YA MILLARD AYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!