Friday 25 March 2016

UNAKUMBUKA PICHA HII? ANGALIA HUYU MTOTO ALIVYO LEO!



Picha hii ilisambaa kugusa wengi mitandaoni,  ni kuhusu mtoto wa miaka miwili aliyetelekezwa na wazazi wake  kutokana na imani za kishirikina nchini Nigeria.  Aliokolewa na mfanyakazi wa kujitolea toka nchini Denmark Anja  Riggren Loven.


 Alimkuta mtoto huyo mitaani akiwa na hali mbaya sana. Mtoto huyo ambaye hata jina lake halikujulikana, aliishi mitaani hapo kwa zaidi ya miezi saba akiteseka bila msaada wowote, Anja Riggren alipeleka katika kituo cha kulelea watoto , akiwa chini ya usimamizi wa mwanamama huyo toka Denmark, hali ya mtoto huyo imeendelea kuimarika siku hadi siku baada ya kupatiwa matibabu na chakula sahihi.




Mtoto huyo aliyeokotwa alipewa jina la "Hope" na  Mwanamama huyo toka Denmark 




Mtoto "HOPE" aliyekuwa Karibu kufa kwa Njaa, hivi ndivyo anavyonekana Leo! 

Hope anaonekana mvulana mwenye furaha na afya sasa. ameongezeka kilo kadhaa  hali ambayo ni tofauti na alivyokuwa kwenye picha karibuni.


Anja aliambatanisha picha hii chini na maneno yafuatayo

Along with the new photo, Anja wrote:

“The day I carried this sweet little boy in my arms for the very first time I was so sure he would not survive. Every breath he took was a struggle and I did not want him to die without a name, without dignity, so I named him Hope. Hope to me is a special name. Not only the meaning of Hope, but what it stands for. Many years ago I got the name HOPE tattooed on my fingers because to me it means: Help One Person Everyday.”


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!