Monday 21 March 2016

UKIONA KIUMBE HIKI BAHARINI KIMBIA


Hauwezi kutegemea matatizo yeyote uwapo umetulia ufukweni, ila ni vyema kujua ni vitu gani vya kujikinga navyo ukiwa kwenye fukwe za bahari Mara nyingine matatizo yanakuja katika hali ya kuvutia. 

Kama haujui ni nini, unaweza kufanya kosa kubwa kuvutiwa na uzuri wa kiumbe usichokijua Naamini habari hii itakusaidia kujiepusha na maumivu ya bahati mbaya utakayoweza kuyapata bila kujua Kama ulishawai kumuona mnyama wa namna hii ni vizuri ku-share na watu ili nao wapate kujua Mnyama huyu yupo kama Jellyfish ila sio jelly fish, ana miguu kama kamba zenye urefu wa 30-foot na wengine imefika hadi 165-feet.

Akikugusa au akikuuma anaweza kukusababishia ku-paralyze na maumivu makali hata kifo....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!