Wednesday, 16 March 2016
SAY NO TO DOMESTIC VIOLENCE
Jamani ni mpaka lini tutakubali hivi vitu. Mwisho wa siku mtu anapoteza maisha alafu tunasema eti na sisi tulikuwa tunampenda. Unampenda mtu unamuona anapigwa unanyamaza unamtetea eti 'Anampenda'. Give me a damn break!!!!! It's never been love, not like this. Say NOOOOOOO TO DOMESTIC VIOLENCE
Vanessa Mdee.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment