Monday 21 March 2016

SALUTE KWA CYRIL KWA MANENO HAYA , KIUKWELI HATA MIE NIMEUMIA SANA!



Kuna msemo unaosema kabla hujafa hujaumbika ,Ila binadamu tuwe tunajaribu kum push mtu ata kwa uzuri Chid amekuwa akijaribu kutoa nyimbo kadhaa lakini wengi hawakutoa support ya ku post cover yake kama ambavyo hizi picha za afya yake kubadilika zilivyo trend , sio kitu kizuri kuna muda wewe kama binadamu unahitaji kujua kuna kupanda na kushuka kuna magonjwa na afya njema utajiri umaskini hili linamkuta yoyote yule haijalishi kama maarufu ama sio… Wakati huu sio wakumcheka Chid Benz ni muda wakuwa karibu na kum support’  Cyril


Support yako mtanzania hata kumpa moyo kumpokea kwa ku support kazi zake zinaweza mbadilisha chid huyu mnae muona leo na kua a better person ila kejeli na maneno machafu huzidisha mawazo na kumfanya awe vibaya zaidi .. Well najua kaka yangu Rashid uko strong sana,sababu mi napata nafasi ya kuongea nawewe huo mwili wala isiwe sababu ya watu kuona namna gani vipi najua unaweza vuka kwenye hii hali naamini Mungu yuko pamoja na wewe bado nafasi ipo saaana mfalme wa ilala DONT GIVE UP !! #CHIDBENZANAWEZA #HALIYACHIDBENZSIOMWISHOWAKE #SUPPORTCHIDBENZ’ – Cyril

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!