Thursday, 17 March 2016

MTOTO HUYU ALIPATA AJALI YA GARI MAENEO YA MBEZI YUKO MUHIMBILI NDUGU ZAKE BADO HAWAJAJITOKEZA


Mtoto huyo amepata ajali maeneo ya Mbezi Darajani akiwa ametumwa dukani amevunjika mguu na ameumia kichwani yupo Hospital MOI ward ya watoto Makuti wazazi na ndugu zake hawajapatikana bado kwani alipopata ajali alikimbizwa hospitalini na wasamaria wema. tuma ujumbe na picha yake kwa watu wengi ili awapate ndugu zake.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!