TAARIFA KWA UMMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kote nchini kuwa kutakuwa na maboresho katika mfumo wake wa LUKU utakapolekea wateja kushindwa kununua Umeme kwa njia zote siku ya Alhamisi tarehe 24, March 2016 kuanzia saa 5 usiku hadi tarehe 25 March 2016 saa 11 Alfajiri.
Sababu za kukosekana kwa huduma hiyo ni : Matengenezo ya kuboresha mfumo wa LUKU.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Imetolewa na ofisi ya uhusiano TANESCO makao makuu.
No comments:
Post a Comment