Saturday, 19 March 2016

Ajali ya Ndege ya FlyDubai ilivyoua watu zaidi ya 60

russia-plane-crash
Mabaki ya ndege iliyopata ajali kama inavyoonekana

Ndege ya FlyDubai ambayo ilikuwa ikitokea Dubai na watu 62 imeapata ajali wakati ikijaribu kutua uwanja wa ndege katika mji wa Rostov-on-Don nchini Urusi.


Inaripotiwa kuwa abiria wote 55 na wafanyakazi saba wamekufa kwenye ajali hiyo, kwa mujibu wa orodha ya waathirika iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali inaripotiwa kuwa upepo mkali ulionekana kuwa ndio umesababisha ajali hiyo.





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!