Sunday, 21 February 2016

SHAKU JUMBE NA MUME WAKE WALIVYOMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

 Bi harusi Shaku Jumbe.
Mwanamke jicho jamani uuwii! kanogaje! 

 Maharusi katika picha ya pamoja na familia, nderemo na vifijo wakifurahia siku hii muhimu! 

 Bwana na bi harusi 


Mommy Dearest!


 Mdogo wa Bi harusi bila kukosa kwa raha zake bega kwa bega na bi harusi kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa katika siku hii muhimu.


 Bi harusi kabla ya  ndoa! Absolutely stunning!

Mke na mume tayari kufungua ukurasa mpya wa maisha..
 Hongereni sana!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!