Thursday, 11 February 2016
SEWA HAJJI MWANZILISHI WA HOSPITALI YA MUHIMBILI 1891
Sewa Haji Paroo, mwana jamii ya Ismailia mzaliwa wa Zanzibar na mwanzilishi wa Hospitali ya Muhimbili mwaka 1891. Sewa Haji pia ndiye mwanzilishi wa Shule ya Msingi Mwambao Bagamoyo (Rais Jakaya Kikwete amesoma shule hii) na Hospitali ya Bagamoyo. Muhimbili ilibadilishwa jina toka Sewa Haji kuwa Princess Magreth Hospital wakati wa utawala wa Uingereza. Hospitali ya Muhimbili (wakati huo Sewa Haji Hospital) ilifunguliwa rasmi Ijumaa Oktoba 1 1897, miezi 8 baada ya kifo cha Sewa Haji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment