Tuesday, 23 February 2016
RUBANI MZUNGU AMSUKUMA POLISI WA KIKE KENYA
Rubani mzungu anayedaiwa kumtukana na kumsukuma polisi wa kike nchini Kenya, amejisalimisha kwa polisi jijini Nairobi.
Rubani huyo, Alistar Llewelyn anahojiwa na polisi na huenda akafikishwa mahakamani siku ya Jumatano. Rubani huyo wa helikopta alikuwa amekodishwa kumsafirisha Naibu Rais wa Kenya, William Ruto kwenda kwenye mkutano wa kisiasa mwishoni mwa wiki. Tazama video ya tukio lenyewe.
.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment