Saturday, 20 February 2016

LEO NI LEO!



Watani wa jadi Simba Sports Club na Yanga African kuonyeshana ubabe leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


Mtu wangu wa nguvu leo February 20 ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka la Tanzania, kwani ndio siku ambayo mashabiki wa soka la Tanzaniawatapata nafasi ya kushuhudia mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu, baada ya mchezo wa mzunguuko wa kwanza kumalizika kwa Yanga kuifunga Simba goli 2-0. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mbwembwe za mashabiki kuanzia mitaani hadiTaifa pamoja na timu zikifanya warm up.
















No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!