Monday 22 February 2016

Bustani ya maua na sehemu ya mapumziko!



 Bustani ya maua unaweza kubuni tu jinsi ya kupanda maua yako, kama hii picha, huyu amechanganya maua madogo dizain tofauti,. hii ni katika kuleta ladha tofauti kwa bustani yako ili iwe ya kuvutia zaidi!




 Hapa ni ubunifu mwingine, hii yote ni kutafuta "test" tofauti ndani ya bustani yako ya maua!



Sehemu ya mapumziko!

Hibiscus"













No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!