Monday 25 January 2016

YA WEMA NA IDRISS NDIO HABARI YA MUJINI"


altan
Wema Sepetu na Idris Sultan.
Kupitia page yake ya Instagram @Idris Sutlan kafunguka na kusema haya kuhusuWema
>>> “ Mimi na wewe sio kama watu wengine. Nalala, nakula na naamka nikiwa nakufikiria wewe. Unafikiri una bahati ya kuwa na mimi ila hapana hapana mimi ndio mwenye bahati ya kuwa na wewe. Mara ya kwanza ilikuwa ajabu kwangu kuangalia ndani ya kabati langu la nguo na kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike au ukiingia jikoni kwangu na kuitawala nyumba yangu na vyakula vizuri. Jinsi unavyowatazama wanawake wengine wakinisogelea, jinsi vile unavyojua ni wakati gani nahitaji kupewa a kiss au kumbatio zito. Jinsi unavyonilazimisha kuangalia channel ya Disney, jinsi unavyoniamsha mapema siku hizi kunitengenezea chai. Naweza nikakuletea ua zuri la waridi lakini halitaweza kufikia uzuri wako. Ukiwa na wivu unasonya sonya, nikiwa na wivu natabasamu. Naweza kufanya lolote hata kuhamisha milimia kwa ajli yako. Nitakulinda, nitakupenda, nitakudekeza, nitakupikia, nitagombana na wewe, tutaangalia movies pamoja, nitakaa na wewe kuangalia nyota. Wewe ni zaidi ya kile nilichokiomba, wewe ni kila kitu changu “My Wife”. <<< @idrissultan
Idrissss

IMETAFSIRIWA KWA HISANI YA MILLARD AYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!