Friday, 15 January 2016

WAZIRI MAHIGA AONGOZA MAHAFALI YA 18 CHUO CHA KIMATAIFA CHA DIPLOMASIA(CFR) DAR ES SALAAM‏

MARAFIKI WA KWELI:Wahitimu wa Stashahada ya Juu ya  Uzamili ya Diplomasia ya uchumi yaani Postgraduate Diploma in Economic Diplomacy kuanzia kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Open Sanit Tanzania Limited Bw.Octavian  Mshiu (wa kwanza kushoto),


Mkurugenzi wa mahusiano wa mfuko wa PPF Tanzania Bibi Lulu Mengele (wa kwanza kulia)wakiwa na wahitimu wa Stashahada ya Juu ya  Uzamili  katika usimamizi wa mambo ya nje(Postgraduate Diploma in Management of Foreign Relations)Mhe.Bi.Bonnah Kalua (Mbunge wa jimbo la Segerea) pamoja na CR wao  Bw.Kennedy Ndosi na (Mmiliki wa mtandao wa Masama Blog) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti vyao ambapo mgeni Rasmi alikuwa waziri wa Mambo ya nje,Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa Mhe.Dk.Augustine Mahiga ambapo wahitimu zaidi ya 1400 walitunukiwa vyeti vyao katika ngazi ya Cheti,Stashahada na Stashahada ya uzamili 



Wahitimu wa Stashahada ya Juu ya  Diplomasia ya Uchumi yaani Postgraduate Diploma in Economic Diplomacy  Mkurugenzi wa mahusiano wa mfuko wa PPF Tanzania Bibi Lulu Mengele (wa kwanza kulia) wakiwa na wahitimu wa Stashahada ya Juu ya  Uzamili  katika usimamizi wa mambo ya nje (Postgraduate Diploma in Management of Foreign Relations)Bwa.Hassan Abbas(Meneja Mawasiliano Ofisi ya Rais katika kitengo cha BRN Tanzania) pamoja na CR wao  Bw.Kennedy Ndosi na (Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Masama Blog) wakiwa katika picha ya pamoja.


 
 Marafiki ambao ni Mhitimu wa Ngazi ya Diploma ya usimamizi wa Mahusiano ya kimataifa ambaye pia alikuwa Rais Mstaafu wa serikali ya wanafunzi 2012/2013 Bw.Ismail Shah(mwenye kijani) akifurahia Selfie na Kennedy Ndosi Mhitimu wa  PGD MFR

Wahitimu  Ame Ally na Kennedy Ndosi
Mwanasheria Mhe.Barua Mwakilanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa mivinjeni buguruni Jijini Dar naye ni mmoja wa wahitimu wa PGD MFR.Faith Lucas Diploma ya International Relations,Afisa Uhusiano wa AICC Bw.Rodney Thadeus,Bw.Hassan Abbas ambaye ni Meneja Mawasiliano wa ofisi Tanzania ya Rais  kitengo cha BRN  na Mwanasheria Lulu Rodgers wakiwa katika picha ya Pamoja.
 Bakari akiwa pamoja na CR Kennedy Ndosi wote wahitimu wa PGD MFR 2013/2014
Angela Kagaruki,Alphone Francis,Rodney Thadeus,Mhe.Bonnah Kalua,Faith Lucas,Hassan Abbas (Meneja Mawasiliano Ofisi ya Rais katika kitengo cha BRN Tanzania),Kennedy Ndosi na Lulu Mengele wakifurahi kuhitimu kwa pamoja..
 Kennedy Ndosi,Mhe.Barua Mwakilanga na Bi Aziza Maganga  wakifurahia picha ya Pamoja
 Dada Judth Aron,Hassan Hassan na Latifa Abeid wakifurahia huku mgeni rasmi akiendelea kutunuku vyeti kwa wahitimu wengine.
Selfie ya nguvyu saana Kennedy Ndosi,Lulu Rodgers na Ikunda Mushi wakipata picha ya ukumbusho ya kujipiga maarufu kama selfie,wote ni wahitimu wa PGD MFR 2013/2014
  
 Brother Ludge na Dda Ritha wote walikuwepooo
 John na Alphonce katika ubora wao nao walikuwa wamefurahia saana kupata vyeti vyao
Allan Croni Kasamala,Klaus Kilamla,Ikunda Mushi na Kennedy Ndosi na Mtela Mwampamba wakiselfika na picha ya ukumbusho baada ya safari ya muda mrefu na hatimaye kupata vyeti vya PGD MFR


William Sarakikya,Klaus Kilamla na Kennedy Ndosi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutunukiwa vyeti vyao
Suleiman Kuchengo, Rodney Thadeus Hadija Maulid na Kennedy Ndosi.
Wahitimu wa PGD MFR 2013/2014 Bi.Myra Franco,Bakari,Rais Mstaafu wa Serikali ya Wanafunzi 2013/2014 Bw. George Faustine,Mhe.Bonnah Kalua,Hassan Abbas(Meneja Mawasiliano Ofisi ya Rais katika kitengo cha BRN Tanzania) na Kennedy Ndosi
Mhitimu wa Ngazi ya cheti cha usimamizi wa mahusiano ya kimataifa Bw.Daniel Magwiza akiwa katika picha ya pamoja na Kennedy Ndosi mhitimu wa Stashahada ya juu ya Uzamili katika usimamizi wa mambo ya nje yaani Postgraduate in Management of Foreign Relations 
 Lulu Rodgers ,Ikunda Mushi na Hdija katika Selfie ya Nguvu ambapo wote ni wahitimu wa PGD MFR

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!