Friday 29 January 2016

Video ya utambulisho wa Mbwana Samatta katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji

Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmiliki wa TP Mazembe Mosie Katumbi na Mbwana Samatta kuhusu dau la usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, January 29 ndio ilikuwa mwisho wa ubishi rasmi Mbwana Samatta katua katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.


IMG-20160129-WA0006
Samatta kajiunga na klabu hiyo na kutambushwa na waandishi wa habari leo January 29, dili ambalo limekamilika ikiwa ni wiki moja imepita toka akubaliane na mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi aliyekuwa anataka Mbwana Samatta akacheze klabu ya FC Nantes ya Ufaransa, maamuzi ambayo Katumbi aliyafanya baada ya kutoridhishwa na dau la awali lililokuwa limetolewa na KRC Genk.
qw



KWA HISANI YA MILLARD AYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!