Rais mstaafu Mh: Jakaya Kikwete lalikwenda kumjulia hali Waziri mkuu mstaafu mh, Fredrick sumaye ambaye amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili. |
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akisalimiana na mama Salma Kikwete, walipokwenda kumjulia katika hospitali ya Muhimbili,mapema jana jioni. |
Rais mstaafu Mh. Jakaya Kikwete akiwa na jopo la madaktari wa moyo katika Taifa ya Muhimbili, mara baada ya kumtembelea Waziri mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye. |
No comments:
Post a Comment