Friday, 22 January 2016

RAIS MAGUFULI AWAONYESHA WANANCHI WA ARUSHA KUWA YEYE NI AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA



Wananchi mkoani Arusha wamejitokeza kumlaki Rais Magufuli Jijini Arusha leo.

Rais alikuwa amevalia magwanda ya kijeshi.

Yupo Mkoani Arusha katika ziara yake ya kwanza

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!