Thursday, 21 January 2016

MAJANGA!



PICHA Raia wa Ujerumani akiwa mikononi mwa polisi kwa tuhuma za kutaka kuitoroka familia yake ktk Hoteli moja jijini Dsm baada ya kutoelewana na mke wake mwenye asili ya Afrika. Raia huyo alikuwa nchini kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe akimwachia deni la hoteli la sh. 315,000. 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!