Friday 1 January 2016

HABARI‬ MAKATIBU WAKUU WASAINISHWA HATI YA UTII



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu wa wizara mbalimbali na kuwasainisha kiapo cha utii na uaminifu leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.



Katika hafla hiyo, waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa baada ya makatibu wakuu kusainishwa hati ya kiapo cha utii mbele ya kamishna wa Tume ya Maadili, watakaofuata ni wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri watakaoteuliwa hivi karibuni, kula kiapo hicho kwa ajili ya kuishi kwa kufuata maadili ya utumishi wa umma.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!