Saturday, 12 December 2015

WIMBO MPYA "UTANIPENDA" WA DIAMOND WASIFIWA KWA MASHAIRI YENYE HISIA NA UJUMBE MZITO!





Aah ghafla visenti sina, nimerudi tandale... Nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale... Redio nyimbo wamezima, TV ndio hatare.... Nimenyunda limebaki jina, mitaa ya tandale... Wale shabiki zangu, walionisifu kwa maneno matamu...


Leo maadui zangu, wakitusi tu kwa instragram... Nikimuona sallam, anasema hanifahamu... Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama sanamu.... Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si mnajuaga... Utasikia tafalani eti mond kwa zari kashamwagwa... Na mi nilivyo mnyonge, tabia ya kuwajibu sinaga...

Kama naiona michambo ya madem wa zamani niliowapitiaga.... Ninayosema yana maana, kwani hakuna hajuaye kesho... Anayepanga ni rabana hila ameificha ni confidential.... Ukisali omba sana, mumeo nisije kuwa kichekesho... Mara rafiki wa jana, ndio adui mkubwa kesho... La lala lala la je utanipendaga, la lala lala la au nawe utanimwaga???

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!