Baadhi ya wazanzibar waishio Sweden wakiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania katika maandamano hayo.
Tuesday, 15 December 2015
WAZANZIBARI SWEDEN WAANDAMANA JUU YA HALI YA "SINTOFAHAMU" ZANZIBAR
Wazanzibar waishio nchini Sweden wamefanya maandamano kwa lengo la kutaka Rais Magufuli kuangalia suala la uchaguzi Zanzibar kwani ni muhimu zaidi.
Baadhi ya wazanzibar waishio Sweden wakiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania katika maandamano hayo.
Baadhi ya wazanzibar waishio Sweden wakiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania katika maandamano hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment