Friday 4 December 2015

WATUHUMIWA WA MAKONTENA YALIYOPOTEA WAFIKISHWA MAHAKAMANI




Watuhumiwa nane wa makontena 329 yaliyopotea katika bandari kavu(ICD) ya Azam wamefikishwa mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka mawili.



  1. Kula njama ya kudanganya
  2. Kuisababishia serikali hasara ya bilioni 12.7

Walisema tayari makontena 349 yameshalipiwa kodi ya serikali, mahakama ya hakimu mkazi haina mamlaka ya kusikiliza wala kutoa dhamana hivyo washtakiwa wamerudi rumande.

CHANZO: ITV

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!