Thursday 24 December 2015

SHEREHE YA MAULIDI MAKUU YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

x41
Wanamadrasa wakipiga dufu kukaribisha wageni na Viongozi wakati wa sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja ambayo hufanyika kila mwaka.
[Picha zote na Ikulu.]


x42
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt.Mohammed Gharib Bilali akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar Jabir mjumbe wa Kamati ya Maandalizi alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x43
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbalialipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x44
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwanasheria Mkuu Zanzibar Sheikh Said Hassan Said pamoja na viongozi mbali mbali alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x45
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili katikasherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x46
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto) na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh  Hassan Othman Ngwali wakiwa katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x47
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto) na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh  Hassan Othman Ngwali pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x48
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiangalia ratiba ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja akiwa Viongozi mbali mbali na wananchi,
x49
Baadhi ya Akina Mama wa Kiisalmu wakiwa katika  sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja ambayo hufanyika kila mwaka.
x50
Wanafunzi wa Madrasa mbali mbali za Zanzibar wakiwa katikasherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.
x51
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis alipokuwa akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa sherehe za 
Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa ndio mgeni rasmi katika sherehe hiyo.
x52
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis alipokuwa akitia ubani kama ishara ya kuyafungua Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W)  sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman mjini Unguja jana na kuhudhuriwa na waislamu kutoka Mjini na Mashamba,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishuhudia ufunguzi huo
x53
Ustadh  Juma Seif Said Hamad kutoka Mkoa wa Kaskazini Unguja akisoama Qur’aan Tukufu Surah Luqman Aya 33hadi 34 za  ufunguzi wa Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x54
Wanafunzi wa Madrasat  Nurul Islamia ya Jang’ombe -Mkoa wa Mjini wakisoma Qasweeda baada ya mlango wa kwanza wa sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x55
Ustadh  Rashid Hamadi Bakari kutoka Muungoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja akisoma mlango wa kwanza wa  Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x56
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisiamama kumswalia Mtume wakati wa Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwake Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x57
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitiliwa marashi pamoja na Viongozi mbali mbali wakati wa kumswalia Mtume katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwake Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x58
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Wake wa Viongozimbali mbali wakisimama kumswalia Mtume wakati wa Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwake Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x59
Wanafunzi wa Madrasa mbali mbali na wananchi wakisiama wakati wa kumswalia Mtume (S.A.W) katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwake zilizofanyika jana  katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x60
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka kwa Sheikh Sherali Champs Mshauri Mkuu wa kamati ya Maandalizi ya Maulidi Makuu ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakati wa sherehe ya kusomwa maulidi hayo jana katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x61
Wanafunzi wa Madressatul Mtendeni Mjini Zanzibar wakisoma Maulid ya Hom wakati wa sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x62
Ustadh Nassor Seif Rashid wa Kibanda hatari Mkoa wa Mjini akisoama Barazanj Mlango wa Nne wa  Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.
x63
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt.Mohammed Gharib Bilali alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja,
[Picha na Ikulu.]

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!