Friday, 25 December 2015

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA KRISMAS KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM LEO.


Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli akihudhuria Ibada ya Krismasi katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es Salaam leo. Amewahimiza raia washerehekee sikukuu za Maulid, Krismasi na Mwaka Mpya kwa amani na utulivu.Picha/Ikulu ya Tanzania









No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!