Saturday 26 December 2015

PICHA ZA LOWASSA AKIWA SHAMBANI KWAKE NZERI AKICHUNGA NG'OMBE WAKE, AANDIKA UJUMBE WA KUMSHUKURU MUNGU




>> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo
Lowassa 1

 Lowassa 3

1 comment:

Anonymous said...



HAMISI Issa04:01


1

ndicho kilicho bakia sasa ni kuchinga

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!