Tuesday, 15 December 2015

NJIA SALAMA NA RAHISI KUPUNGUZA UNENE:



.Watu wanene wengi wanahamu ya kupunguza mafuta mwilini na njia rahisi na salama kupunguza haraka bila madhara mafuta mwilini ni kupangilia ulaji wa vyakula vya wanga'carbohydrates'na vya kujenga mwili'protein' na badala yake tumia mbogamboga na matunda na kufanya mazoezi.




.Vyakula kama viazi 
mviringo,wali,mkate,ugali,chapati nk hukaa tumboni kwa zaidi ya siku tatu pia ulaji wa nyama nyekundu unasababisha kuongezeka uzito na pia huongeza ukubwa wa tumbo.Kitaalamu vyakula hivi vinatakiwa kutumiwa kwa kiasi kidogo sana,kuna wakati tumbo linajitokeza na kuwa kubwa kuliko kawaida hali hiyo inasababishwa na kula vyakula vya wanga na protini kwa wingi,kutokunywa maji ya kutosha na pia kula bila mpangilio maalum.Vyakula vya wanga na mafuta hufanya mtu kunenepa hivyo ni vyema uache au upunguze kula vyakula hivyo. Kitambi au tumbo kuwa kubwa

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!