Lubumbashi Centre ville - dereva kashikwa na Polisi halafu kaamua kujimwagia petroli na kujiwasha moto then akamng'ang'ania Polisi ili waungue wote.
Dereva yupo hoi hospitali, Polisi kafa!
KWA HISANI YA JMF.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment