Sunday, 15 November 2015
NJIA YA MUONGO FUPI"
Jamaa mmoja alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma
gazet, ghafla akapigwa kwa frampen usoni na
mkewe!
JAMAA: VP tena darling kulikon?
MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua
nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY",
unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?
JAMAA: aaah! wik ilopita nlikuwa kweny
mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina
alobandikwa farasi wangu yan farasi wangu aliitwa
JENNY!
MKE: sorry darling!
Siku ilofuata jamaa akiwa amekaa kochin huku
akisoma gazeti, alishtukia tena frampen ya uso
"kwaang!"
JAMAA: Uwiiiiiii! jaman darling kulikon tena?
MKE: farasi wako kapiga simu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment