Sunday, 1 November 2015

GARI MPYA YA AUNT EZEKIEL,AONYA MSIJE KUSEMA NI PESA YA KAMPENI ZA CCM!

Mwigizaji Kajala na Aunty Ezekiel
Mwigizaji Kajala na Aunty Ezekiel
Aunty alipost picha ya gari lake jipya kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’

Aunty aliandika  ‘My new bby, Thanks a million baba Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi, we ni zaidi ya kiboko yangu #birthdaypresent# mana hamchelewi kusema CCM #happyfamily’
.
.
.
.
.
.
.
.
Unataka

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!