Sunday, 1 November 2015

FAIZA ATINGA KWENYE MAHOJIANO (INTERVIEW) NA KANGA


Faiza Ally ambaye ni mama mtoto wa rapa/ mbunge wa Mbeya Mjini Sugu amefunguka kuwa anampenzi mpya na anatafuta mtoto kwa nguvu.




Faiza ameniambia “nina mpenzi kwa sasa na ni Muamerika mweusi, walikutana mwaka mmoja baada ya kuachana na Sugu, wamekuwa pamoja kwa miezi 12,haishia hapa Tanzania, ni powa kuwa na mtu kama huyo, kama baba yake Sasha yupo hapa na hamuoni mtoto, hakuna tofauti na kuwa na mtu aliye nje ya nchi” .
Kupitia interview niliyofanya naye ijumaa iliyopita Faiza aliniambia “kwa sasa hivi nipo na mpenzi wangu na pengine naweza kuwa na mimba, not sure kwasababu sijapima, ila nataka mtoto mwingine“.
CHANZO; SAMMISAGO

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!