Saturday 7 November 2015

EDDIE MURPHY KUPATA MTOTO WA TISA



Staa wa filamu, Eddie Murphy akiwa na mpenzi wake Paige Butcher.
STAA wa filamu, Eddie Murphy anatarajiwa kuwa baba kwa mara nyingine kutokana na mpenzi wake, Paige Butcher kuwa mjamzito.


Murphy, 54, na Butcher, 36, wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne sasa na wanatarajiwa kumpata mtoto wao huyo Mei, mwakani huku akiwa ni mtoto wa tisa kwa Murphy.
Watoto wengine wa Murphy aliowapata kwa wanawake mbalimbali ni; Eric (26), Christian (25), Bria (25), Myles (22), Shayne (21), Zola (15), Bella (13) na Angel (8).

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!