Sunday, 18 October 2015

Rubani William Silaa aliyefariki kwenye ajali ya Helikopta amezikwa leo

Octoba 15 2015 taarifa ya majonzi ilitufikia kuhusu kifo cha mbunge wa Ludewa Deo Haule Filikunjombe na aliyekuwa Baba mzazi wa meya wa Ilala, William Silaa baada ya kupata ajali ya helikopta iliyoanguka katika mbuga ya Selous.


Sasa leo Octoba 18, 2015 Dar es Salaam kulifanyika mazishi ya Baba mzazi wa meya wa Ilala, William Silaa ambapo katika mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikalini akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
.
Viongozi kutoka Serikalini.
.
.
.
.
.
.
EI1A0191 (Copy)
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr.Reginald Mengi ni miongoni waliohudhuria kwenye mazishi ya marehemu William Silaa.
.
.
.
Viongozi mbalimbali kutoka Serikalini.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni waliohudhuria mazishi ya  marehemu William Silaa ambaye alifariki kwenye ajali ya Helikopta Octoba 15, 2015.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Picha:Freddie

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!