Mshindi wa
kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais
Mwanamke Pekee kwa tiketi ya ACT Wazlendo Mama Anna Mghira mara baada ya
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva
kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es
salaam ambako yeye na Rais Jakaya Mrisho Kikwete walifuatilia kwa
pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni.
Dkt Magufuli amemshukur sana Mama Mghwira na kumwita mkomavu wa siasa na
mwana-Demokrasia wa mfano jioni hii Oktoba 29, 2015Mama Salma Kikwete akimpongeza mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa
tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada
ya Mwenyekiti wa Tais kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini
Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa
moja kupitia vituo vya televisheni
jioni hii Oktoba 29, 2015 |
No comments:
Post a Comment